Ufafanuzi wa ufa katika Kiswahili

ufa

nominoPlural nyufa

  • 1

    mpasuko mwembamba ulioko kwenye kitu bila ya kitu hicho kuachana kabisa.

    ‘Bonde la ufa sehemu ya ardhi iliyodidimia kutokana na mtitio wa ardhi’

Matamshi

ufa

/ufa/