Ufafanuzi wa ufafanuzi katika Kiswahili

ufafanuzi

nominoPlural ufafanuzi

  • 1

    maelezo yanayotolewa ili kuweka jambo wazi.

    ubainifu, ikisiri, ufumbuzi, maelezo

Matamshi

ufafanuzi

/ufafanuzi/