Ufafanuzi wa ufagio katika Kiswahili

ufagio

nomino

  • 1

    kifaa kilichotengenezwa kwa k.v. njukuti, nyasi au makumbi kinachotumiwa kuondolea taka sakafuni au ardhini.

Matamshi

ufagio

/ufagijÉ”/