Ufafanuzi wa ufahari katika Kiswahili

ufahari

nominoPlural ufahari

  • 1

    hali au tabia ya kupenda makuu na maisha ya juu.

Asili

Kar

Matamshi

ufahari

/ufahari/