Ufafanuzi wa ufanisi katika Kiswahili

ufanisi

nominoPlural ufanisi

  • 1

    hali ya kupatikana kwa mafanikio.

    fanaka, ustawi

Asili

Kar

Matamshi

ufanisi

/ufanisi/