Ufafanuzi wa ufasaha katika Kiswahili

ufasaha

nominoPlural ufasaha

  • 1

    utamkaji sahihi na upaji wa maana kamili na sahihi wa maneno.

Asili

Kar

Matamshi

ufasaha

/ufasaha/