Ufafanuzi wa ufasiki katika Kiswahili

ufasiki

nominoPlural ufasiki

  • 1

    tabia ya vitendo vibaya na vichafu.

    uasherati, ufuska

Matamshi

ufasiki

/ufasiki/