Ufafanuzi msingi wa ufisadi katika Kiswahili

: ufisadi1ufisadi2

ufisadi1

nominoPlural ufisadi

 • 1

  tendo la kuleta maovu au uharibifu katika jamii.

  maovu, uharibifu

Asili

Kar

Matamshi

ufisadi

/ufisadi/

Ufafanuzi msingi wa ufisadi katika Kiswahili

: ufisadi1ufisadi2

ufisadi2

nominoPlural ufisadi

 • 1

  upokeaji au utoaji wa hongo.

 • 2

  wizi wa mali ya umma katika mashirika ya umma au serikali.

Asili

Kar

Matamshi

ufisadi

/ufisadi/