Ufafanuzi wa ufite katika Kiswahili

ufite

nominoPlural ufite

  • 1

    kitambaa chembamba na kirefu kilichokatwa kutoka kwenye nguo.

    utepe, upapi

Matamshi

ufite

/ufitɛ/