Ufafanuzi msingi wa ufito katika Kiswahili

: ufito1ufito2

ufito1

nominoPlural fito

  • 1

    kipande cha mti au chuma kirefu na chembamba ambacho hutumiwa kujengea nyumba.

    upapi

Matamshi

ufito

/ufitɔ/

Ufafanuzi msingi wa ufito katika Kiswahili

: ufito1ufito2

ufito2

nominoPlural fito

  • 1

    ada inayotolewa na kupewa mwalimu wakati mwanafunzi anapoingia chuoni.

Matamshi

ufito

/ufitɔ/