Ufafanuzi wa ufuasi katika Kiswahili

ufuasi

nominoPlural ufuasi

  • 1

    ufuataji kitu, mwenendo au itikadi fulani.

Asili

Kar

Matamshi

ufuasi

/ufuwasi/