Ufafanuzi wa ufufuo katika Kiswahili

ufufuo

nomino

  • 1

    Kidini
    tendo linalosadikiwa na baadhi ya madhehebu ya Ukristo la viumbe kupata uhai tena baada ya kufa.

    kiyama