Ufafanuzi wa ufugaji katika Kiswahili

ufugaji

nomino

  • 1

    kazi ya kutunza wanyama k.v. ng’ombe, mbuzi, kondoo au ngamia.

Matamshi

ufugaji

/ufugaʄi/