Ufafanuzi wa ufukara katika Kiswahili

ufukara

nominoPlural ufukara

  • 1

    hali ya kuwa maskini.

    ukata, uchochole, umaskini

Asili

Kar

Matamshi

ufukara

/ufukara/