Ufafanuzi wa ufuko katika Kiswahili

ufuko, ufukwe

nomino

  • 1

    mahali ambapo maji ya bahari hukomea pwani; ukingo wa bahari.

    pwaa, upwa