Ufafanuzi wa ufundishaji katika Kiswahili

ufundishaji

nomino

  • 1

    namna ya kufundisha au kuelekeza mtu jambo ili alifahamu.

Matamshi

ufundishaji

/ufundi∫aʄi/