Ufafanuzi wa ufunguzi katika Kiswahili

ufunguzi

nominoPlural ufunguzi

  • 1

    sherehe za kuanzisha kitu rasmi.

    ‘Wazazi wamealikwa katika ufunguzi wa shule mpya ya sekondari’

Matamshi

ufunguzi

/ufunguzi/