Ufafanuzi wa ufunzaji katika Kiswahili

ufunzaji

nominoPlural ufunzaji

  • 1

    namna ya kufundisha, hasa mambo ya adabu na tabia.

Matamshi

ufunzaji

/ufunzaʄi/