Ufafanuzi wa ufupi katika Kiswahili

ufupi

nominoPlural ufupi

  • 1

    kimo kidogo; hali ya kutokuwa -refu.

Matamshi

ufupi

/ufupi/