Ufafanuzi wa ufupisho katika Kiswahili

ufupisho

nominoPlural ufupisho

  • 1

    namna ya kufupisha kitu au jambo fulani.

  • 2

    hali ya kutoa muhtasari wa jambo.

Matamshi

ufupisho

/ufupi∫ɔ/