Ufafanuzi wa ufurufuru katika Kiswahili

ufurufuru

nominoPlural ufurufuru

  • 1

    hali ya upandwaji wa hasira.

  • 2

    hali ya kutokuweko kwa mwangaza k.v. wakati wa mawingu.

Matamshi

ufurufuru

/ufurufuru/