Ufafanuzi wa ugale katika Kiswahili

ugale

nominoPlural gale

  • 1

    sehemu ya katikati ya shina la mti na ambayo ni laini.

Matamshi

ugale

/ugalɛ/