Ufafanuzi wa uganguzi katika Kiswahili

uganguzi

nominoPlural uganguzi

  • 1

    uondoaji wa uchawi kutoka kwa mtu au kitu kilichorogwa.

Matamshi

uganguzi

/uganguzi/