Ufafanuzi wa ugatuzi katika Kiswahili

ugatuzi

nominoPlural ugatuzi

  • 1

    mfumo wa uhawilishaji madaraka na ugavi wa matumizi ya rasilimali kutoka serikali kuu kwenda kwa uongozi wa magatuzi au serikali za majimbo, mkoa au mitaa.

Matamshi

ugatuzi

/ugatuzi/