Ufafanuzi wa ugea katika Kiswahili

ugea

nominoPlural ugea

  • 1

    kitoweo kinachopikwa kwa kunyafuliwanyafuliwa minofu ya papa au taa na kupikwa kwa mafuta yao.

Matamshi

ugea

/ugɛja/