Ufafanuzi wa ugema katika Kiswahili

ugema

nominoPlural ugema

  • 1

    ukataji au uchanjaji wa sehemu ya mti, hasa katika kilele chake, ili kutoa utomvu ambao agh. hukingwa kwenye chombo.

Matamshi

ugema

/ugɛma/