Ufafanuzi wa ugemi katika Kiswahili

ugemi, ugemaji

nominoPlural ugemi

  • 1

    kazi ya kugema k.v. tembo au ulanzi.

Matamshi

ugemi

/ugɛmi/