Ufafanuzi wa ughushi katika Kiswahili

ughushi

nominoPlural ughushi

  • 1

    utengenezaji wa vitu visivyo vya asili kwa kutumia ujuzi wa kemia, fizikia, n.k..

  • 2

    utengenezaji au uundaji wa kitu kwa lengo la kudanganya.

    ‘Ughushi wa hundi za benki’

Asili

Kar

Matamshi

ughushi

/uɚu∫i/