Ufafanuzi wa ugingisi katika Kiswahili

ugingisi

nomino

  • 1

    hali ya kumfanyia mkemwenza vishindo ili avunje ndoa yake.

Matamshi

ugingisi

/ugingisi/