Ufafanuzi wa ugomvi katika Kiswahili

ugomvi

nominoPlural ugomvi

  • 1

    hali ya kuwa na mzozo au fujo; hali ya kugombana.

    ghasia, kimondo, mgogoro, husuma, chokochoko, fakachi, shari, nuksani, mzozo, shonde, matata, fujo, ushari

Matamshi

ugomvi

/ugɔmvi/