Ufafanuzi msingi wa ugoni katika Kiswahili

: ugoni1ugoni2

ugoni1

nominoPlural ugoni

  • 1

    kosa linalotokana na kufumaniwa kwa kufanya tendo la zinaa na mke au mume wa mtu mwingine.

Matamshi

ugoni

/ugɔni/

Ufafanuzi msingi wa ugoni katika Kiswahili

: ugoni1ugoni2

ugoni2

nominoPlural ugoni

  • 1

    ada anayolipa mgoni kwa mume au mke aliyekosewa.

Matamshi

ugoni

/ugɔni/