Ufafanuzi wa uguraji katika Kiswahili

uguraji

nomino

  • 1

    tendo la kuondoka mahali unapoishi na kwenda kwingine.

    uhamaji

Matamshi

uguraji

/uguraŹ„i/