Ufafanuzi wa uguza katika Kiswahili

uguza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    angalia mgonjwa; tunza mgonjwa.

Matamshi

uguza

/uguza/