Ufafanuzi wa uhafifu katika Kiswahili

uhafifu

nominoPlural uhafifu

  • 1

    hali ya kukosa thamani.

    uduni

  • 2

    unyonge, udhaifu

Matamshi

uhafifu

/uhafifu/