Ufafanuzi wa uhakiki katika Kiswahili

uhakiki

nominoPlural uhakiki

  • 1

    uchambuzi wa ndani kabisa wa kitu au jambo ulioambatana na fikira za mchambuzi.

    tahakiki

Asili

Kar

Matamshi

uhakiki

/uhakiki/