Ufafanuzi wa uhalali katika Kiswahili

uhalali

nomino

  • 1

    hali ya kuwa halali kwa mujibu wa kanuni zinazokubalika na wanaohusika.

Asili

Kar

Matamshi

uhalali

/uhalali/