Ufafanuzi wa uhamaji katika Kiswahili

uhamaji

nomino

  • 1

    uondokaji mahali na kwenda kuishi mahali pengine.

    uguraji

Matamshi

uhamaji

/uhamaʄi/