Ufafanuzi wa uhamasishaji katika Kiswahili

uhamasishaji

nomino

  • 1

    hali ya kuwatia watu hamu ya kufanya jambo.

    uraghibishaji

Matamshi

uhamasishaji

/uhamasiʃaʄi/