Ufafanuzi wa uhamiaji katika Kiswahili

uhamiaji

nominoPlural uhamiaji

  • 1

    taratibu za kuendesha shughuli za kuingia au kutoka katika nchi.

Matamshi

uhamiaji

/uhamiaʄi/