Ufafanuzi wa uhanithi katika Kiswahili

uhanithi

nominoPlural uhanithi

  • 1

    hali ya kutosimika uume na kushindwa kumwingilia mwanamke.

  • 2

    hali ya kusema au kutenda mambo yasiyofaa.

Matamshi

uhanithi

/uhaniθi/