Ufafanuzi wa uhawara katika Kiswahili

uhawara

nomino

  • 1

    tabia ya watu wawili kuishi, agh. kwa muda, kama mume na mke bila kuoana.

    magendo

Matamshi

uhawara

/uhawara/