Ufafanuzi wa uhayawani katika Kiswahili

uhayawani

nominoPlural uhayawani

  • 1

    hali ya kutojali chochote au kutotumia akili.

  • 2

    unyama

Asili

Kar

Matamshi

uhayawani

/uhajawani/