Ufafanuzi wa uhazigi katika Kiswahili

uhazigi

nomino

  • 1

    uganga wa kuunganisha viungo vinapoachana au mifupa inapovunjika.

    jabara

Matamshi

uhazigi

/uhazigi/