Ufafanuzi wa uhitaji katika Kiswahili

uhitaji

nominoPlural uhitaji

  • 1

    haja ya kupata kitu cha lazima k.v. chakula au pesa.

    umaskini, urumo

Matamshi

uhitaji

/uhitaʄi/