Ufafanuzi wa uimara katika Kiswahili

uimara

nominoPlural uimara

  • 1

    hali ya kuwa na nguvu na kutotetereka.

    uthabiti

Matamshi

uimara

/uwimara/