Ufafanuzi wa uimarishaji katika Kiswahili

uimarishaji

nominoPlural uimarishaji

  • 1

    tendo la kufanya kitu kiwe madhubuti zaidi.

Matamshi

uimarishaji

/uwimari∫aʄi/