Ufafanuzi msingi wa ujaka katika Kiswahili

: ujaka1ujaka2

ujaka1

nomino

  • 1

    majani ambayo hufanywa mboga.

Matamshi

ujaka

/uʄaka/

Ufafanuzi msingi wa ujaka katika Kiswahili

: ujaka1ujaka2

ujaka2

nomino

  • 1

    harufu mbaya.

Matamshi

ujaka

/uʄaka/