Ufafanuzi wa ujapongo katika Kiswahili

ujapongo

nominoPlural ujapongo

  • 1

    hali ya kutamani kula mara kwa mara au kwa wingi, inayosababishwa na upungufu wa ulaji wakati mtu alipokuwa mgonjwa.

Matamshi

ujapongo

/uʄapɔngɔ/