Ufafanuzi wa ujasiri katika Kiswahili

ujasiri

nominoPlural ujasiri

  • 1

    hali ya kukabili jambo bila ya hofu.

    uhodari, ushujaa

Asili

Kar

Matamshi

ujasiri

/uʄasiri/