Ufafanuzi wa ujazo katika Kiswahili

ujazo

nominoPlural ujazo

  • 1

    kima kinachoweza kujaza kitu.

    ‘Hewa iliyojaza chumba hiki ni futi 600 za ujazo’
    mjao

Matamshi

ujazo

/uʄazɔ/